Esther Niyokwizera Akiimba wimbo wake mpya 'Ameinuliwa Bwana' - Agape Grace Church
0
0
0 Visninger·
07/26/26
Kwenye sikuu kuu hii, @esthaniyokwizera6312 akaimba wimbo wake AMEINULIWA BWANA, Akiungana na Kunda La AGAPE GRACE CHURCH
Wimboo huu unatukumbusha kwama ijapo mengi tunapitiya, tumeumbwa kwa lengo flani na Mungu anampango juu ya kila mmoja atakae nyenyekeya na kumsifu
Vis mere
0 Kommentarer
sort Sorter efter
